Mabeki wa Kagera Sugar wakimsubiri mshambuliaji wa Yanga, Mrundi Amissi Tambwe ainuke waendelee kumdhibiti katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Mei 9, mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Tambwe hakufunga siku hiyo, ingawa Yanga ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Simon Msuva na Obrey Chirwa, wakati la Kagera lilifungwa na Mbaraka Yussuf
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment