• HABARI MPYA

    Sunday, August 13, 2017

    RONALDO YUPO TAYARI KWA EL CLASICO LA LEO CAMP NOU

    Mwanasoka bora wa dunia, Cristiano Ronaldo akiwa mazoezini na wenzake jana kujiandaa na mchezo wa kwanza wa Super Cup ya Hispania dhidi ya wenyeji, Real Madrid leo Uwanja wa Camp Nou hiyo ikiwa El Clasico ya kwanza ya msimu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO YUPO TAYARI KWA EL CLASICO LA LEO CAMP NOU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top