• HABARI MPYA

    Sunday, August 13, 2017

    DELE ALLI AFUNGA SPURS YAIPIGA 2-0 NEWCASTLE UNITED ST. JAMES' PARK

    Dele Alli akiutelezea mpira kumtungua kipa wa Newcastle United, Rob Elliot kuifungia Tottenham Hotspur bao la kwanza dakika ya 61 katika ushindi wa 2-0 Uwanja wa St. James' Park leo. Bao la pili limefungwa na Ben Davies dakika ya 70 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DELE ALLI AFUNGA SPURS YAIPIGA 2-0 NEWCASTLE UNITED ST. JAMES' PARK Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top