• HABARI MPYA

  Sunday, August 13, 2017

  LUKAKU ALIANZISHA OLD TRAFFORD, APIGA MBILI MAN UNITED YAUA 4-0

  Romelu Lukaku akiinua mikono mbele ya umati wa mashabiki Uwanja wa Old Trafford huku Paul Pogba akimkimbilia kumpongeza mchezaji mwenzake huyo mpya baada ya kufunga mabao mawili dakika za 33 na 52 katika ushindi wa 4-0 wa Manchester United dhidi ya West Ham United kwenye mchezo wao wa kwanza wa Ligi Kuu ya England leo. Mabao mengine ya United yamefungwa na Anthony Martial dakika ya 87 na Pogba dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LUKAKU ALIANZISHA OLD TRAFFORD, APIGA MBILI MAN UNITED YAUA 4-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top