• HABARI MPYA

  Thursday, August 17, 2017

  REAL WAIPIGA BARCA 2-0 NA KUBEBA SUPER CUP YA HISPANIA

  Wachezaji wa Real Madrid wakiwa na taji lao la Super Cup ya Hispania baada ya ushindi wa 2-0 usiku wa jana Uwanja wa Bernabeu katika mchezo wa marudiano dhidi ya Barcelona. Mabao ya Real iliyomkosa mshambuliaji wake nyota, Crustiano Ronaldo aliyeanza kutumikia adhabu ya mechi tano kufuatia kuonyeshwa kadi nyekundu katika mchezo wa kwanza Camp Nou wiki iliyopita yamefungwa na Marco Asensio dakika ya nne na Karim Benzema dakika ya 39. Real ilishinda 3-1 kwenye mchezo na sasa inabeba Super Cup ya Hispania kwa ushindi wa jumla wa 5-1 dhidi ya timu ya Lionel Messi PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL WAIPIGA BARCA 2-0 NA KUBEBA SUPER CUP YA HISPANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top