Kiungo mpya Mkongo wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi akikimbia peke yake kwenye mazoezi ya timu hiyo leo Uwanja wa Gombani, Pemba. Tshishimbi aliyesajiliwa kutoka Mbabane Swallows ya Swaziland amejiunga na wenzake kambini jana, hivyo amepewa programu maalum tofauti na wenzake kuelekea pambano la Ngao ya Hisani Jumatano dhidi ya mahasimu, Simba Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
20 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment