![]() |
| Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akiwatoka wachezaji wa AS FAR Rabat |
![]() |
| Kipre Tchetche wa Azam akimtoka beki wa AS FAR Rabat |
![]() |
| Khamis Mcha 'Vialli' akimtoka beki wa AS FAR Rabat |
![]() |
| Brian Umony akimtoka beki wa AS FAR Rabat |
![]() |
| Humphrey Mieno wa Azam kushoto akigombea mpira wa juu na kiungo wa AS FAR Rabat |
![]() |
| Kipre Tchetche na kipa wa Azam |
![]() |
| Polisi wakipambana na mashabiki wa AS FAR Rabat |
![]() |
| Sure Boy akituliza mpira gambani ... |
![]() |
| Mashabiki wa AS FAR Rabat wakimsaidia mwenzao aliyeumia katika mapambano na Polisi |
![]() |
| Polisi na mashabiki wa AS FAR Rabat... |
![]() |
| Kipa wa AS FAR Rabat akiuwahi mpira |
![]() |
| Azam wakishangilia bao lao |
![]() |
| Kipre Tchetche kulia akiwania mpira |
![]() |
| Haikuwa bahati yao; John Bocco akishangilia bao lake, anayemfuata ni Kipre Tchetche |
![]() |
| David Mwantika akimkwatua mchezaji wa AS FAR Rabat |
![]() |
| Maseneta wa Azam FC... |
![]() |
| Beki wa Azam FC, Mkenya Joackins Atudo akimdhibiti mshambuliaji wa AS FAR Rabat |
![]() |
| Waziri Salum akitafuta mbonu za kumpokonya mpira mchezaji wa AS FAR Rabat |
![]() |
| Kikosi cha AS FAr Rabat leo |
![]() |
| Kikosi cha Azam leo |
![]() |
| Beki wa Rabat akiondosha mpira hatarini mbele ya Kipre Tchetche |
![]() |
| Kipa wa AS FAR Rabat amedaka |
![]() |
| Kipre Tchetche anafumua shuti |
![]() |
| Kipre Tchetche akipambana... |
![]() |
| Khamis Mcha 'Vialli' akikabiliana na beki wa AS FAR Rabat |




























.png)