• HABARI MPYA

  Saturday, August 19, 2017

  LEWANDOWSKI AFUNGA BAYERN MUNICH YAUA 3-2 BUNDESLIGA

  Robert Lewandowski akishangilia baada ya kufunga kwa penalti dakika ya 53 kuipatia Buyern Munich bao la tatu katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Bayer Leverkusen usiku wa jana Uwanja wa Allianz Arena mjini Munich, Ujerumani kwenye mchezo wa Bundesliga. Mabao mengine ya Bayern Munich yalifungwa na Niklas Sule dakika ya tisa na Corentin Tolisso dakika ya 19 wakati la Bayer Leverkusen lilifungwa na Admir Mehmedi dakika ya 65 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LEWANDOWSKI AFUNGA BAYERN MUNICH YAUA 3-2 BUNDESLIGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top