• HABARI MPYA

    Tuesday, February 12, 2013

    MALINZI: NINA VIGEZO, ILA KUNA AJENDA KESHO MTAZIJUA

    Mgombea Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amesema kesho atafanya Mkutano na Waandishi wa Habari mjini Dar es Salaam, kuzungumzia mustakabali wa uchaguzi wa shirikisho hilo uliopangwa kufanyika Februari 24, mwaka huu baada ya kuenguliwa jana kwa kigezo cha kutokuwa na uzoefu. Malinzi amesema kwa kuwa aligombea Urais mwaka 2008, maana yake ana vigezo, hivyo kuenguliwa huku kwa sasa anaamini kuna ajenda nyingine nyuma yake na kesho ndio ataweka kila kitu hadharani. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MALINZI: NINA VIGEZO, ILA KUNA AJENDA KESHO MTAZIJUA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top