![]() |
| Polisi wanakagua siti uwanjani, Taifa wanafanyaga hivi? |
![]() |
| Mashabiki wa Bayern wakipiga mitungi mbele ya Kombe la bandia |
![]() |
| Shabiki la Bayern mbele ya mashabiki wa Barcelona |
![]() |
| Polisi wa England na Polisi wa Ujerumani mbele ya bango la Bayern |
![]() |
| Shabiki wa kike wa Bayern |
![]() |
| Mashabiki wa Bayern |
![]() |
| Mashabiki wa Bayern |
![]() |
| Mashabiki wa Chelsea katika mitaa ya Munich |
![]() |
| Shabiki la Bayern likitikisa Cowbell na kupiga kelele |
![]() |
| Mashabiki wa Bayern na Chelsea wakiwa eneo la Marienplatz, kusini mwa Ujerumani. |
![]() |
| Mashabiki wa Bayern na Chelsea wachache wakitenganishwa na Polisi |
![]() |
| Mashabiki wa Bayern na Kombe bandia |














.png)
0 comments:
Post a Comment