BAO la dakika za lala salama la Ricardo Vaz Te limeipa West Ham tiketi ya kurejea Ligi Kuu ya England, baada ya kuifunga Blackpool katika mchezo maalum wa kuwania nafasi ya mwisho ya kurejea kwenye ligi hiyo kutoka Championship (Daraja la Kwanza).
Matokeo yanamaanisha kocha Sam Allardyce ametimiza ahadi yake ya kuirejesha Ligi Kuu The Hammers.
Kikosi cha Allardyce kilipata bao la kuongoza kupitia kwa Carlton Cole lakini Thomas Ince - mtoto wa kiungo wa zamani wa Hammers, Paul - akasawazisha kipindi cha pili.
West Ham striker Carlton Cole scores against Blackpool in the Championship play-off final at Wembley

VIKOSI, KADI (1) & WALIOINGIA (5)

Blackpool

  • 01 Gilks
  • 03 Crainey
  • 05 Eardley
  • 06 Evatt
  • 15 Baptiste
  • 16 Ferguson
  • 23 M Phillips
  • 31 Angel (Dicko - 90' )
  • 07 Dobbie (Bednar - 90' )
  • 09 K Phillips (Sylvestre - 71' )
  • 36 Ince

BENCHI

  • 20 Cathcart
  • 04 Southern
  • 14 Sylvestre
  • 32 Dicko
  • 35 Bednar

West Ham United

  • 01 Green
  • 02 Reid
  • 05 Tomkins
  • 20 Demel (Faubert - 57' )
  • 04 Nolan
  • 10 Collison
  • 14 Taylor
  • 16 Noble
  • 32 O'Neil (McCartney - 53' )
  • 09 Cole
  • 12 Vaz Te Booked

  • BENCHI
  • 13 Henderson
  • 03 McCartney
  • 18 Faubert
  • 22 Lansbury
  • 08 Maynar
    d
Refa: H Webb
Waliohudhuria: 78,523

takwimu za mechi

Possession48%52%96minsBlackpoolWest Ham United

Shots

1412

On target

74

Corners

45

Fouls

68