• HABARI MPYA

    Saturday, May 19, 2012

    LAANA YA FERGUSON, TEVEZ ATEMWA KIKOSINI ARGENTINA


    alejandro sabella (argentina coach)
    Alejandro Sabella (Kocha wa Argentina)
    KOCHA wa ArgentinaAlejandro Sabella amewaacha kwenye kikosi chake Carlos Tevez, Esteban Cambiasso na Javier Zanetti  kitakachocheza Brazil na Ecuador.

    Wakati wachezaji maarufu kama Sergio Aguero na Lionel Messi wakiitwa kikosini, Tevez ametemwa kutokana na kuwa na msimu mbovu.

    Wakati huo huo, pia ameitwa mchezaji Universidad ya Chile,
    Matias Rodriguez, ambaye anatarajia kuichezea kwa mara ya kwanza timu yake ya taifa, ingawa amekwishawahi kusema angependa kuichezea Chile.
    Argentina itaanza na Ecuador katika mechi za kuwania kufuzu kucheza Fainali za Kombe la Dunia kabla ya kumenyana na Brazil katika mechi ya kirafiki Juni 9.

    KIKOSI KAMILI KILICHOITWA: 
    JINAKLABU
    Makipa: 
    Sergio RomeroSampdoria
    Mabeki: 
    Hugo CampagnaroNapoli
    Federico FernandezNapoli
    Ezequiel GarayBenfica
    Marcos RojoSpartak Moscow
    Pablo ZabaletaManchester City
    Viungo: 
    Fernando GagoRoma
    Pablo GuinazuInternacional
    Javier MascheranoBarcelona
    Matias RodriguezUniversidad de Chile
    Maxi RodriguezLiverpool
    Jose SosaMetalist
    Washambuliaji: 
    Sergio AgueroManchester City
    Gonzalo HiguainReal Madrid
    Ezequiel LavezziNapoli
     Angel Di MariaReal Madrid
    Lionel MessiBarcelona
    Eduardo SalvioAtletico Madrid
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LAANA YA FERGUSON, TEVEZ ATEMWA KIKOSINI ARGENTINA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top