• HABARI MPYA

  Friday, July 05, 2024

  ‘MIDO YA KAZI’ ADOLF MTASINGWA BITEGEKO MAPEMA TU AMERIPOTI AZAM FC


  KIUNGO wa umri wa miaka 24, Adolf Mtasingwa Bitegeko (kushoto) ambaye amekuwa akihusishwa na kuhamia kwa vigogo, Yanga akiwa mazoezini na wachezaji wenzake wa Azam FC leo asubuhi kabla ya kikosi kwenda kambini.
  GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ‘MIDO YA KAZI’ ADOLF MTASINGWA BITEGEKO MAPEMA TU AMERIPOTI AZAM FC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top