• HABARI MPYA

  Tuesday, July 09, 2024

  MWAMBA TRIPLE C KWA MARA YA KWANZA NDANI YA UZI WA YANGA


  KLABU ya Yanga imeposti video kwa mara ya kwanza kiungo wa Kimataifa wa Zambia, Clatous Chota Chama akıwa amevaa jezi ya timu hiyo tangu asajiliwe mwishoni mwa mwezi Juni kutoka kwa mahasimu, Simba SC.
  VIDEO: CLATOUS CHAMA AKIWA NA JEZI YA YANGA SC
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MWAMBA TRIPLE C KWA MARA YA KWANZA NDANI YA UZI WA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top