FARID MUSSA AMUACHIA CLATOUS CHAMA JEZI NAMBA 17 YANGA
KIUNGO Farid Mussa Malik leo amemkabidhi jezi namba 17 mchezaji mpya, Mzambia Clatous Chota Chama aliyesajiliwa kutoka kwa watani, Simba SC. Farid amekuwa akivaa jezi namba 17 tangu akiwa Azam FC alipodumu kuanzia mwaka 2013 hadi 2016 alipokwenda Tenerife B alikocheza hadi mwaka 2020 alipojiunga na Yanga na kuendelea kutumia jezi hiyo.
Kwa upande wake Chama amekuwa akitumia jezi namba 17 tangu anawasili Simba SC mwaka 2018 kutoka Lusaka Dynamos ya kwao, Zambia hadi alipouzwa RS Berkane mwaka 2021 alikocheza hadi 2022 akaendelea kuvaa jezi hiyo hadi anaachana na klabu hiyo mwezi uliopita.
Man Utd scrapped LGBTQ+ jacket plans
-
Manchester United abandoned plans to wear a jacket supporting the LGBTQ+
community before the Sunday's win over Everton because a player refused to
wear it.
Football mourns former FUFA President Era Mugisa
-
The Federation of Uganda Football Associations (FUFA) is deeply saddened by
the demise of Mr. Era Mugisa, who served as FUFA President from 1974 to
1976....
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment