DODOMA JIJI YAICHAPA SINGIDA BLACK STARS 2-1 ARUSHA
TIMU ya Dodoma Jiji FC leo imetoka nyuma na kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Singida Black Stars katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Mabao ya Dodoma Jiji FC yamefungwa na wachezaji wapya, kiungo Ibrahim Ajibu Migomba aliyesajiliwa kutoka Coastal Union dakika ya 52 na Reliants Lusajo Mwakasugule aliyesajiliiwa kutoka Mashujaa ya Kigoma baada ya beki Augustino Samson Nsata kuanza kujifunga dakika ya 14 kuitanguliza Singida Black Stars.
Football mourns former FUFA President Era Mugisa
-
The Federation of Uganda Football Associations (FUFA) is deeply saddened by
the demise of Mr. Era Mugisa, who served as FUFA President from 1974 to
1976....
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment