• HABARI MPYA

  Thursday, July 04, 2024

  KIBABAGE AJITIA KITANZI YANGA SC HADI MWAKA 2027


  BEKİ wa kushoto, Nickson Clement Kibabage (23) ameongeza mkataba wa miaka mitatu kuendelea kuichezea klabu ya Yanga hadi mwaka 2027.
  VIDEO: UTAMBULISHO WA KIBABAGE KUONGEZA MKATABA YANGA SC
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIBABAGE AJITIA KITANZI YANGA SC HADI MWAKA 2027 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top