// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
AL AHLY KUUMANA NA ZAMALEK KATIKA SUPER CUP YA CAF SAUDIA ARABIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEAL AHLY KUUMANA NA ZAMALEK KATIKA SUPER CUP YA CAF SAUDIA ARABIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
AL AHLY KUUMANA NA ZAMALEK KATIKA SUPER CUP YA CAF SAUDIA ARABIA
RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Dk Patrice Motsepe kwa pamoja na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Burudani ya Saudi Arabia (GEA), wamelitangaza Jiji la Riyadh, Saudi Arabia kuwa mwenyeji wa Super Cup 2024 ya Afrika. Mechi hiyo ambayo itazikutanisha timu za Misri tupu, mabingwa wa Ligi ya Mabingwa, Al Ahly na mahasimu wao, Zamalek SC na itachezwa Ijumaa Septemba 27, mwaka huu 2024 Jijini Riyadh, Saudi Arabia katika Uwanja ambao utatajwa baadaye.
FAMACO I Programme spreads to FUFA’s 8 Regions
-
FUFA in association with the Regional Football Associations has confirmed a
full progamme to spread the capacity building courses for Football
Administra...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment