• HABARI MPYA

  Monday, July 01, 2024

  WAWILI WANAOCHEZA ULAYA WAONGEZWA TWIGA STARS KUIVAA TUNISIA  KOCHA wa timu ya soka ya taifa ya wanawake, Twiga Stars, Bakari Nyundo Shime ameongeza wachezaji wawili kikosini kuelekea michezo miwili ya kirafiki ya Kimataifa mwishoni mwa wiki hii.
  Hao ni Malaika Meena (pichani juu) wa klabu ya Wake Forest University ya Uingereza na Victoria Maselle (pichani chini) wa Nasa TopHat Soccer Academy ya Georgia ambao wataungana na wenzao wengine 20 wanaoingia kambini leo kujiandaa na michezo ya kirafiki dhidi ya Tunisia na Botswana. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WAWILI WANAOCHEZA ULAYA WAONGEZWA TWIGA STARS KUIVAA TUNISIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top