YANGA KUCHEZA NA KAIZER CHIEFS KOMBE LA TOYOTA JULAI 28 BLOEMFONTEIN
KLABU ya Yanga inatarajiwa kucheza na wenyeji, Kaizer Chiefs FC katika mechi ya michuano ya Kombe la Toyota itakayochezwa Julai 28 Uwanja wa Toyota mjini Bloemfontein, Afrika Kusini.
0 comments:
Post a Comment