Mwanzo > SIMBA > SIMBA SC YAMTAMBULISHA WINGA MZAMBIA JOSHUA MUTALE HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA SIMBA SC YAMTAMBULISHA WINGA MZAMBIA JOSHUA MUTALE KLABU ya Simba imemtambulisha winga wa Kimataifa wa Zambia, Joshua Mutale kutoka Power Dynamos ya kwao kuwa mchezaji wake mpya wa pili kuelekea msimu ujao baada ya beki Lameck Lawi kutoka Coastal Union ya Tanga. Monday, July 01, 2024 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA
0 comments:
Post a Comment