• HABARI MPYA

  Tuesday, July 09, 2024

  AZİZ ANDAMBWILE MWAMBALASWA NI MCHEZAJI MPYA WA YANGA


  KLABU ya Yanga imemtambulisha Aziz Andambwile Mwambalaswa (24) kutoka Singida Big Stars kuwa mchezaji wake mpya wa tano kuelekea msimu ujao.
  Wachezaji wengine wapya Yanga ni kipa Aboubakar Khomeini (25) kutoka Singida Black Stars, zamani Ihefu SC, beki wa kushoto, Chadrack Issaka Boka (24) kutoka St Eloi Lupopo ya kwao, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), kiungo Mzambia, Clatous Chota Chama kutoka Simba na mshambuliaji Mzimbabwe, Prince Dube Mpumelelo kutoka Azam FC.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZİZ ANDAMBWILE MWAMBALASWA NI MCHEZAJI MPYA WA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top