• HABARI MPYA

  Monday, July 08, 2024

  YANGA SC YATAMBULISHA KIPA MPYA, KUTOKA SINGIDA BLACK STARS


  KLABU ya Yanga imemtambulisha kipa Aboubakar Khomeini (25) kutoka Singida Black Stars, zamani Ihefu SC kuwa mchezaji wake mpya kuelekea msimu ujao.
  Huyo anakuwa mchezaji mpya wa nne baada ya beki wa kushoto, Chadrack Issaka Boka (24) kutoka St Eloi Lupopo ya kwao, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), kiungo Mzambia, Clatous Chota Chama kutoka Simba na mshambuliaji Mzimbabwe, Prince Dube Mpumelelo kutoka Azam FC.
  VIDEO: UTAMBULISHO WA KHOMEIN ABUBAKAR YANGA SC

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC YATAMBULISHA KIPA MPYA, KUTOKA SINGIDA BLACK STARS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top