// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
'KAPTENI' OPA CLEMENT AJIUNGA NA HENAN FC YA LIGI KUU YA CHINA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE'KAPTENI' OPA CLEMENT AJIUNGA NA HENAN FC YA LIGI KUU YA CHINA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
'KAPTENI' OPA CLEMENT AJIUNGA NA HENAN FC YA LIGI KUU YA CHINA
MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Tanzania, Opah Clement Tukumbuke (23) amejiunga na timu ya Henan Wanxian Mountain WFC inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake China akitokea Beşiktaş ya Uturuki. Nahodha wa timu ya taifa ya soka ya wanawake, ‘Twiga Stars’ anajiunga na timu hiyo baada ya uzoefu wa kucheza Ligi Kuu ya Uturuki katika klabu za Besiktas na Kayseri Kaddin. Pamoja na Opa, imesajili wachezaji wengine wapya watatu kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu ujao wa Ligi ya Wanawake China – wengine ni Zhijie, Chen Lingling na Zhang Wei.
FAMACO I Programme spreads to FUFA’s 8 Regions
-
FUFA in association with the Regional Football Associations has confirmed a
full progamme to spread the capacity building courses for Football
Administra...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment