• HABARI MPYA

  Monday, July 08, 2024

  WACHEZAJI YANGA WAFANYIWA VIPIMO VYA AFYA KABLA YA KUINGIA KAMBINI


  BEKI mpya wa kushoto wa Yanga SC, Chadrack Issaka Boka (24) aliyesajiliwa kutoka St Eloi Lupopo ya kwao, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) akifanyiwa vipimo vya afya kabla ya kuanza maandalizi ya msimu na klabu yake mpya.
  GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WACHEZAJI YANGA WAFANYIWA VIPIMO VYA AFYA KABLA YA KUINGIA KAMBINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top