// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); AZAM FC YAMNUNUA ‘MOJA KWA MOJA’ KIPA MSUDAN NA KUMSAINISHA MIAKA MIWILI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE AZAM FC YAMNUNUA ‘MOJA KWA MOJA’ KIPA MSUDAN NA KUMSAINISHA MIAKA MIWILI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Tuesday, July 02, 2024

  AZAM FC YAMNUNUA ‘MOJA KWA MOJA’ KIPA MSUDAN NA KUMSAINISHA MIAKA MIWILI


  KLABU ya Azam FC imemnunua moja kwa moja na kumsainisha mkataba wa miaka miwili kipa wa Kimataifa was Sudan, Mohamed Mustafa kutoka El Merreikh ya Sudan.
  Hatua hiyo inafuatia kazi nzuri ya kipa huyo kufuatia kusajiliwa kwa mkopo mwezi Januari akiisaidia Azam FC kumaliza nafasi ya pili kwenye Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara na Kombe la CRDB la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YAMNUNUA ‘MOJA KWA MOJA’ KIPA MSUDAN NA KUMSAINISHA MIAKA MIWILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top