• HABARI MPYA

  Thursday, July 11, 2024

  AL HILAL YAANZA VYEMA, GOR MAHIA YACHAPWA KOMBE LA KAGAME


  MABAO ya Mohamed Abdelrahman Yousif dakika ya 22 na 27 yaliipa Al Hilal Omdurman ya Sudan ushindi wa 2-0 dhidi ya ASAS ya Djibouti katika mchezo wa Kundi B Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
  Mchezo mwingine wa Kundi hilo, bao la mkongwe James Chamanga dakika ya 74 lilitosha kuipa Red Arrows ya Zambia ushindi wa 1-0 dhidi ya Gor Mahia hapo hapo Azam Complex.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AL HILAL YAANZA VYEMA, GOR MAHIA YACHAPWA KOMBE LA KAGAME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top