• HABARI MPYA

  Monday, July 08, 2024

  'MWANA MFALME' PRINCE DUBE MPUMELELO ALIVYOANZA KAZI YANGA SC LEO


  MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga SC, Mzimbabwe Prince Dube Mpumelelo (katikati) aliyesajiliwa kutoka Azam FC akiwa na wachezaji wenzake wapya, mabeki Muivory Coast, Kouassi Attohoula Yao (kulia) na mzawa Nickson Clement Kibabage (kushoto) kwenye mazoezi ya gym leo baada ya nyota hao kuwasili kuanza maandalizi ya msimu mpya.
  GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: 'MWANA MFALME' PRINCE DUBE MPUMELELO ALIVYOANZA KAZI YANGA SC LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top