• HABARI MPYA

  Thursday, July 11, 2024

  SIMBA SC KUANZA JKU, COASTAL NA WAANGOLA KOMBE LA SHIRIKISHO


  VIGOGO, Simba SC wataanza katika Raundi ya Kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika kumenyana na mshindi kati ya Uhamiaji ya Zanzibar na bingwa wa Kombe la FA ya Libya zitakazomenyana katika Raundi ya Awali.
  Nayo Coastal Union ya Tanga itaanza ugenini dhidi ya FC Bravos do Maquis ya Angola, ikifanikiwa kuvuka Hatua hiyo itakutana na St. Eloi Lupopo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
  Mechi za kwanza za Raundi ya Awali zitapigwa kati ya Agosti 16 na 18, kabla ya timu hizo kurudiana kati ya Agosti 23 na 25.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC KUANZA JKU, COASTAL NA WAANGOLA KOMBE LA SHIRIKISHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top