// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); COASTAL UNION YAANZA VYEMA, JKU YADUNDWA UFUNGUZI KAGAME - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE COASTAL UNION YAANZA VYEMA, JKU YADUNDWA UFUNGUZI KAGAME - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Tuesday, July 09, 2024

  COASTAL UNION YAANZA VYEMA, JKU YADUNDWA UFUNGUZI KAGAME


  TIMU ya Coastal Union imeanza vyema michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kombe la Kagame baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Dekadaha ya Somalia katika mchezo wa Kundi A leo Uwanja wa KMC, Mwenge Jijini Dar es Salaam.
  Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee, kiungo wa zamani wa KCB na Nzoia Sugar za Kenya, RAMADHANI Mwenda dakika ya 45.
  Mechi nyingine ya Kundi A iliyotangulia mchana, Hay Al Wadi ya Sudan iliichapa 1-0 JKU ya Zanzibar bao pekee la Jebril Mohamed. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: COASTAL UNION YAANZA VYEMA, JKU YADUNDWA UFUNGUZI KAGAME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top