James Milner (wa pili kushoto) akiwa amezingirwa na wachezaji wenzake wa Liverpool kumpongeza baada ya shuti lake kumbabatiza mchezaji wa Hoffenheim, Havard Nordtveit na kuingia nyavuni kuipatia timu yake bao la pili dakika ya 74 katika mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa WIRSOL Rhein-Neckar-Arena mjini Sinsheim, Ujerumani. Liverpool ilishinda 2-1 bao lake lingine likifungwa na Trent Alexander-Arnold dakika ya 35, wakati la wenyeji lilifungwa na Mark Uth dakika ya 87 huku pia mshambuliaji wa zamani wa Leicester, Andrej Kramaric akiikosesha penalti na Hoffenheim, iliyookolewa kiulaini Simon Mignolet PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
5 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment