• HABARI MPYA

  Wednesday, August 09, 2017

  KICHUYA NA HUYU BEKI WA RAYON JANA ILIKUWA SHUGHULI PEVU TAIFA

  Beki wa Rayon Sport ya Rwanda, Eric Rutanga (kushoto) akipambana na winga wa Simba SC, Shiza Kichuya katika mchezo wa kirafiki kwenye tamasha la Simba Day jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
  Eric Rutanga (kushoto) na Shiza Kichuya (kulia) jana walionyeshana shughuli pevu katika dakika 45 za kipindi cha kwanza
  Eric Rutanga (kushoto) na Shiza Kichuya (kulia) jana walionyeshana shughuli pevu katika dakika 45 za kipindi cha kwanza 
  Eric Rutanga (kushoto) na Shiza Kichuya (kulia) wakionyeshana kazi 
  Hakika wawili hao walionyesha kweli wao ni vijana wadogo na wapo fiti 
  Lakini mwishowe, Eric Rutanga (kushoto) akaanza kumdhibiti kwa kumshika na kumkwida Shiza Kichuya 
  Shiza Kichuya alionyesha uimara wake kwa kuhakikisha pamoja na kuchezea rafu hapotezi mpira miguuni

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KICHUYA NA HUYU BEKI WA RAYON JANA ILIKUWA SHUGHULI PEVU TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top