• HABARI MPYA

  Wednesday, August 09, 2017

  TSHABALALA, KIBADENI WALIVYOPEWA TUZO SIMBA DAY JANA

  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira na Muungano, January Makamba (katikati) akimkabidhi beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki wa timu hiyo kwa msimu uliopita. Kulia ni Mkurugenzi wa EAG Group, Imani Kajula ambao ni kampuni inayoshughulikia Masoko katika klabu ya Simba
  Gwiji wa klabu ya Simba, Abdallah Athumani Seif 'King Kibadeni' akiinua tuzo yake maalum ya mchango wa kihistoria katika klabu, baada ya kufunga mabao matatu peke yake katika ushindi wa 6-0 dhidi ya mahasimu, Yanga Julai 19, mwaka 1977 kufuatia kukabidhiwa jana katika tamasha la Simba Day
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TSHABALALA, KIBADENI WALIVYOPEWA TUZO SIMBA DAY JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top