Diego Costa akishangilia baada ya kuifungia Hispania bao ka pili dakika ya 37 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Macedonia usiku wa jana Uwanja wa Nacionalna Arena mjini Filip II Makedonski, Skopje kwenye mchezo wa Kundi G kufuzu Kombe la Dunia. David Silva alianza kuifungia Hispania dakika ya 15, kabla ya Stefan Ristovski kuisawazishia Macedonia dakika ya 66 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Sam Docherty: Footy star who beat cancer twice reveals how a new health
battle has left him shattered: 'I'm in the pit right now'
-
Carlton's Sam Docherty has endured more than most in his life - and the
defender has revealed his latest health battle has left him 'in the pit.'
Docherty ...
26 minutes ago
0 comments:
Post a Comment