Andrea Belotti anayetakiwa na Manchester United kutoka Torino, akishangilia baada ya kuifungia Italia bao la pili dakika ya 52 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Kundi G kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Liechtenstein usiku wa jana Uwanja wa Dacia Arena, Udine. Belloti pia alimsetia Eder Martins kufunga la tatu dakika ya 74, wakati mabao mengine ya Azzuri yamefungwa na Lorenzo Insigne dakika ya 35, Fernando Bernardeschi dakika ya 83 na Manolo Gabbiadini dakika ya 92 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
LIVE ab 19:45 Uhr: Die Warm-Up-Show vor dem Halbfinal-Hinspiel
-
Nobby Dickel meldet sich live aus dem SIGNAL IDUNA PARK und gibt euch die
letzten Informationen rund um das Halbfinalhinspiel in der UEFA Champions
League ...
52 minutes ago
0 comments:
Post a Comment