• HABARI MPYA

  Jumatatu, Februari 02, 2009

  ZAIN YANG'ARA KWENYE GOFU

  Mratibu wa mashindano ya gofu kwa niaba ya Zain
  Tanzania, Femin Mabachi (kulia) akikabidhi zawadi ya begi lenye
  vifurushi vya Zain kwa mshindi wa watoto wa mashindano ya gofu ya
  Zain/Lugalo Fiddle, Victor Joseph katika viwanja vya TPDF Lugalo, Dar
  es Salaam mwishoni mwa wiki.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ZAIN YANG'ARA KWENYE GOFU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top