• HABARI MPYA

  Jumatatu, Februari 09, 2009

  USHIRIKI WA TANZANIA KOMBE LA WASHINDI, SHIRIKISHO

  Kikosi cha Yanga miaka ya 1970
  KOMBE LA WASHINDI
  1975:
  Mufulira Wanderers (Zambia) Vs Jeshi Zanzibar 3-0 3-1 6-1

  1976
  Mechal Army (Ethiopia) Vs Youth League 5-2 1-2 6-4

  1977
  RAUNDI YA AWALI
  Matlama F.C. (Lesotho) Vs Rangers International F.C. 2-5 2-6

  RAUNDI YA KWANZA
  Ndola United (Zambia) Vs Rangers International F.C. 1-2 1-1

  RAUNDI YA PILI
  Al Ittihad El Iskandary (Misri) Vs Rangers International F.C. 2-0 0-0

  1978
  KMKM Zanzibar 3-1 Vs Simba FC (Uganda)2-0 1-1

  MWAKA 1979
  Pan African FC Vs Omedla (Ethiopia) 1-0 0-1 (Pan ilitolewa kwa penalti 14-1 )

  1980
  RAUNDI YA AWALI
  Pan African FC Vs AS Vita Club (Zaire) 2-1 0-1

  RAUNDI YA KWANZA
  Pan African FC Vs AS Sotema (Guinea Bissau) 4-3 1-1

  RAUNDI YA PILI
  Pan African FC Vs Ibadan Shooting Stars (Nigeria) F.C. 0-1 1-2

  1981
  Gor Mahia (Kenya) Vs Coastal Union ilijitoa

  1982
  Pan African FC Vs Power Dynamos F.C. (Zimbabwe) 1-0 0-1 (Pan ilitolewa kwa penalti 11-1)

  1983
  KMKM Zanzibar Vs CAPS United F.C. (Zimbabwe) 2-3 0-4

  1984
  Al Merreikh (Sudan) Vs KMKM Zanzibar 1-0 1-0

  1985
  Simba SC Vs Shoe Factory (Ethiopia) 5-0 0-1
  Simba SC Vs Al Ahly (Misri) 2-1 0-2

  1986
  RAUNDI YA KWANZA
  Fortior Mahajanga (Madagascar) Vs Miembeni 2-2 0-1 2-3

  RAUNDI YA PILI:
  Miembeni Vs Power Dynamos (Zambia) 1-1 0-5 1-5

  1987
  Highlanders (Zimbabwe) Vs Miembeni 1-0 0-1 1-1 2-5p

  1988
  BTM Antananarivo (Madagascar) Vs Miembeni 3-1 0-0 3-1

  1989
  Coastal Union Vs Costa do Sol (Msumbiji) 2-3 0-2 2-5

  1990
  RAUNDI YA AWALI
  Anse-aux-Pins (Shelisheli) Vs Pamba SC 0-5 1-12 1-17

  RAUNDI YA KWANZA
  Pamba SC Vs BTM Antananarivo (Madagascar) 0-0 1-2 1-2

  1991
  Small Simba Vs Highlanders (Swaziland) 1-0 1-3 2-3

  1992
  RAUNDI YA AWALI:
  Reli Morogoro Vs Matlama FC (Lesotho) 1-0 0-1 1-1 (Reli ilifuzu kwa penalti 3-2)

  RAUNDI YA KWANZA
  Reli Vs Highlanders (Highlanders ya Zimbabwe ilijitoa) w/o x

  RAUNDI YA PILI
  Railways SC Tan Al Merreikh (Sudan) 2-1 1-3 3-4

  1993
  Al Ahly (Misri) Vs Pamba SC 5-0 0-0 5-0

  1994
  RAUNDI YA KWANZA
  Malindi Vs KCC (Uganda) (Malindi ilipeta kwa ushindi wa chee)

  RAUNDI YA PILI
  Malindi Vs Eleven Men in Flight (Swaziland) 1-0 1-0 2-0

  ROBO FAINALI
  Mbilinga FC (Gabon) Vs Malindi 4-0 0-1 4-1

  1995
  RAUNDI YA KWANZA
  Vaal Reef Professionals (Af. Kusini) Vs Yanga 2-2 1-2 3-4
  RAUNDI YA PILI
  Yanga Vs Tamil Cadets Club (Mauritius) 3-1 1-1 4-2
  ROBO FAINALI
  Blackpool (Zimbabwe) Vs Yanga 2-1 2-1 4-2

  1996
  RAUNDI YA KWANZA
  Chapungu (Zimbabwe) Vs Simba 0-1 (Chapungu haikuja Dar kurudiana na Simba)

  RAUNDI YA PILI
  Simba Vs Al Mokaoulun (Misri) 3-1 0-2 3-3 (Al Mokaoulun walifuzu kwa faida ya bao la ugenini)

  1997
  Sigara SC Vs Dynamos (Zimbabwe) 1-0 0-3 1-3

  1998
  RAUNDI YA AWALI
  Tanzania Stars Vs Bata Bullets (Malawi) 3-1 2-2 5-3
  RAUNDI YA KWANZA
  Mamelodi Sundowns (Af. Kusini) Vs Tanzania Stars 4-1 2-0 6-1

  1999
  Simba FC (Uganda) Vs Tanzania Stars 2-1v 1-1 3-2

  2000
  Yanga Vs Zamalek (Misri) 1-1 0-4 1-5

  2001
  RAUNDI YA KWANZA
  FC Djivan (Madagascar) Vs Simba SC (Simba ilifuzu bila jasho baada ya wapinzani kujitoa)

  RAUNDI YA PILI
  Ismailia (Misri) Vs Simba SC 2-0, 0-1, 2-1
  (Mechi ya marudiano ilichezwa mara mbili, baada ya mechi ya kwanza kuvunjika dakika ya 46, SImba ikiwa inaongoza 2-0, Uwanja wa taifa, Dar es Salaam. Ismailia walilalamikia hali ya Uwanja kujaa maji kwamba hawawezi kuendelea kucheza katika mazingira yale, hivyo mchezo kusogezwa mbele kwa siku moja hadi Mei 29 (apparently Ismaily players attacked the referee as Simba had
  scored 2-0 from a penalty in the na ndipo wenyeji waliposhinda 1-0, hivyo kwa kufungwa 2-0 awali mjini Cairo, walijikuta wakitolewa kwa matokeo ya jumla ya kufungwa 2-1.
  Mchezo wa kwanza ulitawaliwa na vurugu, Polisi walivamia uwanjani kuwatawanya wachezaji wa Ismailia kwa mabomu ya machozi, wakati awali ya hapo mashabiki wa Simba walimpiga chupa mchezaji wa Ismailia Emad El-Nahhas.

  2002
  RAUNDI YA AWALI
  Polisi (Zanzibar) Vs Guna Trading FC (Ethiopia) 0-0 2-1 2-1x

  RAUNDI YA KWANZA
  Polisi (Zanzibar) Vs CS Hammam-Lif (Tunisia) 0-2 0-7 0-9

  2003
  Wawakilishi wa Tanzania, JKT Ruvu hawakushiriki michuano hiyo, baada ya Chama cha Soka Tanzania (FAT) kushindwa kuthibitisha ushiriki wao kwenye michuano ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Na huu ndio ulikuwa mwaka wa mwisho kufanyika Kombe la Washindi, kwani baada ya hapo iliunganishwa na Kombe la CAF na kuwa Kombe la Shirikisho.


  KOMBE LA SHIRIKISHO:
  1992
  Kisumu Postal (Kenya) Vs Small Simba 2-1 2-0 4-1

  1993
  RAUNDI YA KWANZA
  SC Simba Vs Ferroviario (Msumbiji) 0-0 1-1 *1-1
  RAUNDI YA PILI:
  SC Simba Vs Manzini Wanderers (Swaziland) 1-0 1-0 2-0
  ROBO FAINALI:
  SC Simba Vs USM El Harrach (Algeria) 3-0 0-2 3-2
  NUSU FAINALI:
  SC Simba Vs AS Aviacao (Angola) 3-1 0-0 3-1
  FAINALI:
  Stella (Ivory Coast) Vs Simba 0-0 2-0 2-0
  (Mechi ya kwanza ilichezwa Novemba 12 mjini Abidjan na marudiano, Kombe uwanjani ikawa mjini Dar es Salaam, Novemba 26 mwaka huo).

  1994
  Yanga Vs Moroka Swallows (Af. Kusini) 1-0 0-2 1-2

  1995
  RAUNDI YA KWANZA
  Malindi FC Vs Mbabane Swallows (Swaziland) 2-0 1-0 3-0
  RAUNDI YA PILI
  Malindi FC Vs KCC (Uganda) 1-0 2-0 3-0
  ROBO FAINALI:
  Malindi FC Vs Agaza Lome (Togo) 0-0 2-0 2-0
  NUSU FAINALI:
  Etoile du Sahel (Tunisia) Vs Malindi FC 1-0 0-1 1-1 (Malindi ilitolewa kiume, kwa mikwaju ya penalti 4-3).

  1996
  Small Simba Vs Hay al Arab (Sudan) 1-1 0-0 1-1*

  1997
  Simba Vs AFC Leopards (Kenya) 1-1 0-3 1-4

  1998
  Mlandege Vs Mebrat Hail (Ethiopia). Mlandege ilijitoa, Hail ikasonga mbele.

  1999
  Kwara United (NIgeri) Vs Yanga 1-0 3-0 4-0

  2000
  Mtibwa Sugar Vs Mochudi Centre Chiefs (Botswana) 3-0 2-1 5-1
  Mtibwa Sugar Vs Cotonsport Garoua (Cameroon) 0-1 0-2 0-3

  2001
  Mtibwa Sugar Vs Mebrat Hail (Ethiopia) 2-1 0-1 2-2*

  2002
  Mtibwa Sugar Vs Ferroviario (Msumbiji) 0-0w 1-1c*1-1
  AS Adema (Madagascar) Vs Mtibwa Sugar 1-0x 1-2z*2-2

  2003
  Mlandege ilishindwa kushiriki michuano hiyo, baada ya FAT kushindwa kuthibitisha ushirikki wao kwenye michuano ya Afrika mwaka huo, kama ilivyokuwa kwa Kenya, Mumias Sugar iliyakosa mashindano hayo kwa uzemebe wa viongozi wa KFF.

  2004
  RAUNDI YA KWANZA:
  Chemelil Sugar (Kenya) Vs Mtibwa Sugar 0-2 1-2 1-4
  (Wafungaji: Abubakar Mgangwa dakika ya 25, Joseph Kaniki dakika ya 61 mjini Nairobi, wakati Morogoro wafungaji walikuwa Kaniki tena dakika ya 33 na 40 na la kufutia machozi la Chemelil lilitiwa kimiani na Johnstone Mukhwana dakika ya 85)

  RAUNDI YA PILI:
  Mtibwa Sugar Vs Santos (Af. Kusini) 0-3
  (Kwa sababu Mtibwa ilianza kufungwa nyumbani, ilishindwa kwenda Cape Town kucheza mechi ya marudiano. Wafungaji siku hiyo walikuwa Fees Moloi dakika ya 1 na 63, David Motoane dakika ya 87)

  2005
  RAUNDI YA AWALI:
  USCA Foot (Madagascar) Vs Prisons 4-1 0-1 4-2
  (Mabao ya Foot yalifungwa na Rakodondravelo dk. 17, 49, Rakotoarivelo 27, Imma 71 na la kufutia machozi la Prisons lilifungwa na Shaaban Mtupa dakika ya 60, wakati katika marudiano bao pekee la wenyeji lilifungwa na Ngade Chabanga dakika ya 70).

  2006:
  RAUNDI YA AWALI:
  Wawakilishi wa Zibabwe Vs Moro United (Wazimbabwe walijitoa, Moro ikapeta bila jasho)
  Moro United Vs TP Mazembe (DRC)
  (Moro ilipewa ushindi wa chee baada ya TP kutotokea uwanjani. Ilifika nchini siku moja baadaye na kutoa sababu za kuchelewa, lakini CAF haikubadilisha uamuzi wake).

  RAUNDI YA KWANZA:
  USJF Ravinala (Madagascar ) Vs Moro United 1-2 1-3 2-5

  RAUNDI YA PILI:
  Etoile du Sahel (Tunisia) Vs Moro United 4-1 3-0 7-1y

  2007
  RAUNDI YA AWALI:
  Textil de Pungue (Msumbiji) Vs Simba (Dar es Salaam) 1-1 1-1 2-2 (Simba ilitolewa kwa penalti 3-1)
  (Mechi ya kwanza ilichezwa Januari 28 na marudiano yalikuwa Februari 11. akitoka kuangalia mechi hiyo, mshambuliaji wa zamani wa Simba, Said Nassor Mwamba ‘Kizota’ aligongwa na gari kwenye kituo cha mafuta, eneo la Veterinary na kufariki baada ya kufikishwa hospitali).

  2008
  RAUNDI YA AWALI:
  AS Adema (Madagascar) Vs Yanga 1-0 0-2 1-2y
  (Wafungaji, Milson Niasexe dakika ya 72 mjini Antananarivo, wakati Dar es Salaam, Maurice Sunguti alifunga yote mawili, dakika ya 53 (kwa penalti) na dakika ya 69).
  Al-Akhdar (Libya) Vs Yanga 1-1 1-0 2-1g

  2009
  Prisons Vs Khaleej Surt (Libya) 0-2-4-0
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: USHIRIKI WA TANZANIA KOMBE LA WASHINDI, SHIRIKISHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top