
Rehema, Kauye: Wasanii wa kikundi cha Tanzania House of Talent (THT) kinachodhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Zain Tanzania, Rehema Ramadhan na Kauye Adam wakiigiza wakati wa onyesho maalumu lililoandaliwa kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Zanaki, Dar es Salaam jana, lililoelimisha kuhusu mbinu za kupambana na maradhi ya UKIMWI na matumizi ya dawa za kulevya.
0 comments:
Post a Comment