• HABARI MPYA

  Sunday, August 06, 2017

  KALI ONGALA ENZI ZAKE YANGA ALIKUWA 'SPIDI 120', HAKAMATIKI!

  Mshambuliaji wa Yanga, Kalimangonga Sam Daniel Ongala 'Kali Ongaa' akimtoka beki wa CDA ya Dodoma, Ramadhani Dela katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Machi 6, mwaka 1999 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam. Yanga ilishinda 3-0
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KALI ONGALA ENZI ZAKE YANGA ALIKUWA 'SPIDI 120', HAKAMATIKI! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top