Wachezaji wa Ujerumani wakimpongeza Amin Younes (katikati) baada ya kufunga bao la nne dakika ya 38 katika ushindi wa 7-0 dhidi ya San Marino usiku wa Jumamosi Uwanja Nurnberg mjini Nurnberg kwenye mchezo wa Kundi C kufuzu Kombe la Dunia. Mabao mengine ya Ujerumani yamefungwa na Julian Draxler dakika ya 11, Julian Wagner matatu dakika za 16, 29 na 85, Shkrodan Mustafi dakika ya 47 na Julian Brandt 72 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Worcestershire spin bowler Baker dies aged 20
-
Worcestershire announce the death of left-arm spin bowler Josh Baker at the
age of 20.
22 minutes ago
0 comments:
Post a Comment