Nahodha wa England kwa mara ya kwanza leo, Harry Kane akiifungia bao la kusawazisha 'Simba Watatu' dakika ya 90 na ushei katika sare ya 2-2 na wenyeji, Scotland kwenye mchezo wa Kundi F kufuzu Kombe la Dunia usiku wa Jumamosi Uwanja wa Hampden Park mjini Glasgow. England walitangulia kwa bao la Alex Oxlade-Chamberlain dakika ya 70, kabla ya Leigh Griffiths kufunga mara mbili mfululizo dakika za 87 na 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Revealed: Billy Vunipola was TEETOTAL for almost two years - but fell off
the wagon spectacularly in Majorca with drunken arrest after police
'Tasered him when he downed four Amarettos'
-
For the last 20 months, the younger of Saracens' two Vunipola brothers had
banished the booze as he strove to re-establish career momentum.
30 minutes ago
0 comments:
Post a Comment