Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 41 na 63 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Latvia usiku wa jana Uwanja wa Skonto mjini Riga katika mchezo wa Kuni B kufuzu Kombe la Dunia. Bao lingine la Ureno lilifungwa na Andre Silva dakika ya 67 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Elections watchdog considers looking into £5m gift to Farage
-
Reform UK mega donor Christopher Harborne gave the money to Nigel Farage in
early 2024.
2 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment