Wesley Sneijder akishangilia baada ya kuifungia Uholanzi bao la pili dakika ya 34 katika ushindi wa 5-0 kwenye mchezo wake wa 131 na timu yake hiyo ya taifa dhidi ya Luexbourg usiku wa jana Uwanja wa Feijenoord mjini Rotterdam katika mchezo wa Kundi A kufuzu Kombe la Dunia. Mabao mengine ya Uholanzi yalifungwa na Arjen Robben dakika ya 21, Georginio Wijnaldum dakika ya 62, Quincy Promes dakika ya 70 na Vincent Janssen dakika ya 84 kwa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Gary Neville slams Chelsea's 'mad' eight-year contracts - claiming they
make young players feel 'genuinely rich' and take away their motivation
-
Todd Boehly handed out lengthy deals to new arrivals during a £1billion
spending spree in the first transfer windows after he bought the club.
29 minutes ago
0 comments:
Post a Comment