Ola Toivonen akishangilia na wachezaji wenzake wa Sweden baada ya kufunga bao la ushindi dhidi ya Ufaransa dakika ya 90 na ushei Uwanja wa Friends Arena mjini Solna katika mchezo wa Kundi A kufuzu Kombe la Dunia. Olivier Giroud alianza kuifungia Ufaransa dakika ya 37, kabla ya Jimmy Durmaz kuisawazishia Sweden dakika ya 43 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ismaila Sarr nets fastest goal as Crystal Palace close in on European final
-
Sarr scored after just 21 seconds against Shakhtar to help put Palace in
the driving seat.
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment