Diego Souza akishangilia baada ya kuifungia Brazail bao la kwanza sekunde ya 11 tu katika ushindi wa 4-0 kwenye mchezo wa kirafiki jana dhidi ya wenyeji Australia Uwanja wa Kriketi wa Melbourne. Souza alifunga bao la nne pia dakika ya 90 na ushei, wakati mabao mengine ya Brazil yalifungwa na Thiago Silva dakika ya 62 na Taison dakika ya 75 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
UNICEF commends Mbah’s consistent 33% allocation to education
-
The United Nations Children’s Fund (UNICEF) has commended the Peter Mbah
Administration in Enugu State for consistently allocating over 33 per cent
of th...
12 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment