Angel Di Maria akijikunja kuifungia Argentina bao la sita dakika ya 90 na ushei katika ushindi wa 6-0 dhidi ya wenyeji, Singapore jana Uwanja wa Taifa wa Singapore kwenye mchezo wa kirafiki. Mabao mengine yalifungwa na Fazio dakika ya 25, Correa dakika ya 31, Gomez dakika ya 60, Paredes dakika ya 74 na Alario dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Tragic footballer Courtney Meppen-Walter became a father two months before
death aged 32
-
Tragic former England youth captain Courtney Meppen-Walter became a father
for the third time just months before his death aged 32.
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment