TIMU ya Colombia imeilaza Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) bao 1-0 katika mchezo wa Kundi K Fainali za Kombe la Dunia Alfajiri ya leo Uwanja wa Akron mjini Zapopan nchini Mexico.
Bao pekee la Colombia lililowazamisha DRC limefungwa na beki wa kulia wa Crystal Palace ya England, Daniel Muñoz Mejía dakika ya 76 na kwa ushindi huo, wanafikisha pointi sita na kupanda kileleni mwa Kundi L wakiizidi pointi mbilki Ureno inayofuatia.
DRC baada ya kupoteza mchezo huo, wanabaki na pointi yao moja katika nafasi ya tatu mbele ya Uzbekistan wanaoshika mkia kufuatia kupoteza mechi zote mbili za mwanzo.



.png)
0 comments:
Post a Comment