• HABARI MPYA

  Sunday, June 11, 2017

  UJERUMANI YAIKUNG'UTA SAN MARINO 7-0 KUFUZU KOMBE LA DUNIA

  Wachezaji wa Ujerumani wakimpongeza Amin Younes (katikati) baada ya kufunga bao la nne dakika ya 38 katika ushindi wa 7-0 dhidi ya San Marino usiku wa Jumamosi Uwanja Nurnberg mjini Nurnberg kwenye mchezo wa Kundi C kufuzu Kombe la Dunia. Mabao mengine ya Ujerumani yamefungwa na Julian Draxler dakika ya 11, Julian Wagner matatu dakika za 16, 29 na 85,  Shkrodan Mustafi dakika ya 47 na Julian Brandt 72 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UJERUMANI YAIKUNG'UTA SAN MARINO 7-0 KUFUZU KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top