• HABARI MPYA

    Saturday, June 10, 2017

    SNEIJDER BADO MOTO, AFUNGA KATIKA MECHI YA 131 UHOLANZI IKIUA 5-0

    Wesley Sneijder akishangilia baada ya kuifungia Uholanzi bao la pili dakika ya 34 katika ushindi wa 5-0 kwenye mchezo wake wa 131 na timu yake hiyo ya taifa dhidi ya Luexbourg usiku wa jana Uwanja wa Feijenoord mjini Rotterdam katika mchezo wa Kundi A kufuzu Kombe la Dunia. Mabao mengine ya Uholanzi yalifungwa na Arjen Robben dakika ya 21, Georginio Wijnaldum dakika ya 62, Quincy Promes dakika ya 70 na Vincent Janssen dakika ya 84 kwa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SNEIJDER BADO MOTO, AFUNGA KATIKA MECHI YA 131 UHOLANZI IKIUA 5-0 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

    PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

    Scroll to Top