• HABARI MPYA

  Thursday, August 03, 2017

  MSUVA AZIDI KUWAKIMBIZA MOROCCO, ANG'ARA KWENYE MECHI NYINGINE

  Winga wa Tanzania, Simon Msuva akiichezea klabu yake mpya, Difaa Hassan El Jadida katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Club Athletic Youssoufia Berrechid jana mjini Jadida, Moroocco
  Simon Msuva akijaribu kumfunga kipa wa CAYB jana mjini Jadida katika mchezo wa kirafiki  
  Msuva jana alivaa jezi namba 77 baada ya kuvaa jezi namba 22 kwenye mchezo wa kwanza 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MSUVA AZIDI KUWAKIMBIZA MOROCCO, ANG'ARA KWENYE MECHI NYINGINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top